Aishi kwa kunywa damu na maziwa kisha kujianika kuonyesha alivyonona

Kwa mujibu wa Dialy Mail  katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume mnene!
<<INGIA HAPA UONE MAPICHA YAKE>>
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

0 comments: